FUNDI SANIFU DARAJA LA II MAJI (TECHNICIAN GRADE II WATER). - 20 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji
ii.    Kutunza takwimu za maji
iii.    Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro
iv.    Kuchora hydrograph za maji
v.    Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way post” n.k.
vi.    Kufanya matengenezo ya vifaa  vyote vya kupimia maji na hali ya hewa
vii.    Kuingiza takwimu kwenye kompyuta
viii.    Kufundisha wasoma vipimo


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply