FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UPIMAJI ARDHI) - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla;
ii.    Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji;
iii.    Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji;
iv.    Kuchora “sketch” ya mchoro wa upimaji;
v.    Kufanya mahesabu ya upimaji.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Upimaji Ardhi.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply