FUNDI SANIFU DARAJA LA II (PHOTOGRAMMETRY).. - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuianisha picha za anga na ramani na kutayarisha “photo index”;
ii.    Kutunza kumbukumbu za picha za anga na ramani za photogrammetria;
iii.    Kuhudumia wateja wa picha za anga na ramani za photgrametria;
iv.    Kutunza kumbukumbu za uchoraji wa ramani;
v.    Kuchora ramani ktika uwiano mbalimbili.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Upimaji Picha (Photogrammetry)

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply