MSAIDIZI WA MAKTABA (LIBRARY ASSISTANT).. - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuandikisha wasomaji;
ii.    Kupanga vitabu katika rafu (Shelves);
iii.    Kuazimisha na kupokea vitabu vinavyoazimwa;
iv.    Kukarabati vitabu vilivyochakaa;
v.    Kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wa kituo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa waliohitimu cheti cha Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ambao wamefaulu mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yatolewayo na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacholingana na hicho.

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply