OPERATA WA KOMPYUTA MSAIDIZI (ASSISTANT COMPUTER OPERATOR). - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuhifadhi data;
ii.    Kutunza kumbukumbu za shughuli za kila siku;
iii.    Kugundua na kusahihisha makosa yanayotokea katika data;
iv.    Kufanya kazi za Kompyuta;
v.    Kuchapa orodha ya makossa;
vi.    Kufanya programu ya matumizi;
vii.    Kuchapa taarifa za mwisho;
viii.    Kufanya kazi chini ya usimamizi wa Opereta wa Kompyuta Daraja la II.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiliwa waliomaliza kidato cha nne au cha sita wenye Astashahada ya mwaka mmoja ya masomo ya awali ya Kompyuta yanayojumuisha Uendeshaji wa Kompyuta wa Msingi (Basic computer operations), Progam Endeshi (Operating system), na Program Tumizi (Application Programs) au Fundi Sanifu wa Kompyuta kutoka Kwenye Taasisi/Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply