MKUTUBI DARAJA LA II - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

•    Kuratibu shughuli za ukuzaji wa utamaduni kitaifa.
•    Kuratibu na kusimamia shughuli za ukaguzi na udhibiti maonyesho ya filamu na video katika ngazi ya taifa.
•    Kushauri juu ya mitaala ya mafunzo na elimu ya fani za utamaduni.
•    Kusimamia usajili wa vikundi na vyama vya fani za utamaduni.
•    Kushauri juu ya ujenzi wa majukwaa na majumba ya utamaduni yenye hadhi ya kitaifa.
•    Kuratibu shughuli za utafiti wa mila na desturi nchini.
•    Kusimamia na kuratibu ukuzaji wa matumizi fasaha na sanifu ya Kiswahili nchini.
•    Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa kituo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza katika fani ya ukutubi au sifa inayolingana na hiyo kutoka katika vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply