KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II). - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kuandaa ratiba  ya  vikao vyote vya Halmashauri na kamati zote  kwa kushauriana  na Mkurugenzi Mtendaji;
ii.    Kuandika Mihutasari ya vikao vya Halmashauri;
iii.    Kuweka Kumbukumbu za vikao vya Halmashauri na kamati zake;
iv.    Kutunza Vifaa vyote vinavyohusiana na mikutano;
v.    Kuhifadhi orordha ya mahudhurio ya Madiwani na Wataalamu;
vi.    Kutoa ratiba ya ufuatiliaji na utekelezaji wa maazimio;
vii.    Kutunza Kanuni za Mikutano;
viii.    Kusimamia “cutting” za mihutasari.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Shahada /Stashahada ya Juu ya Sheria/Sanaa/ Utawala kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply