AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II. - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kuendesha Usaili wa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenye   matatizo, watoto na vijana wenye matatizo mbalimbali);
ii.    Kufanya ukaguzi  wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili;
iii.    Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa;
iv.    Kupokea na kukusanya taarifa za Ustawi wa Jamii kutoka kwa wadau na vituo mbalimbali vya Ustawi wa Jamii;
v.    Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo;
vi.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, malezi ya kambo (foster care) na vituo vya walezi wa watoto wadogo mchana;
vii.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akina mama, waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja;
viii.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali;
ix.    Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali toka kwenye familia za watu wenye dhiki;
x.    Kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa;
xi.    Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya Ufundi Stadi vya watu wenye ulemavu, Mahabusu za watoto na shule za maadilisho;
xii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa katika fani ya ‘Social Works’ au ‘Sociology’ au Stashahada ya juu katika ‘Social Works’’ kutoka Chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply