AFISA BIASHARA MSAIDIZI- - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

• Kuandaa takwimu za mahitaji kutokana na bidhaa zinazozalishwa hapa nchini
• Kuandaa takwimu zinazoonyesha tofauti kati ya mahitaji na uzalishaji
• Kukusanya na kuunganisha nyaraka za sera za biashara na sheria za biashara
• Kuandaa sifa za biashara na huduma ambazo zinauzwa nchi za nje kwa kila sekta kama vile kilimo, madini, nguo na kadharika, na kuandaa sifa za kampuni zinazouza nje.
• Kukusanya takwimu za biashara kutoka kila wilaya, kuzichambua na kutathmini mwenendo wa biashara kwa kila wilaya
• Kukusanya takwimu kutoka kwa wafanya biashara ambao wanauza na kununua kutoka masoko ya nje kama vile SADC, EAC, EU, U.S.A


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•Kuajiliwa wenye Stashahada ya Biashara kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali au sifa inayolingana na hiyo

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply