AFISA MAENDELEO YA VIJANA DARAJA LA II (YOUTH DEVELOPMENT OFFICER GRADE II). - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kuratibu na  kisimamia utekelezaji wa Sera ya Vijana;
ii.    Kuratibu shughuli za mikopo/mifuko ya Vijana;
iii.    Kuhamasisha vijana ili kufufua moyo wa kujitolea nchini;
iv.    Kupanga na kuendesha mafunzo yanayohusu stadi za maisha, stadi za kazi na Afya ya Vijana;
v.    Kuanzisha vituo vya ushauri nasaha, Ajira kwa Vijana na Elimu ya Familia  kwa kushirikiana na vyama visivyo vya kiserikali (NGO);
vi.    Kukusanya takwimu mbalimbali zinazohusu Vijana;
vii.    Kuratibu shughuli mbalimbali za NGO  zinazoshughulikia  masuala ya Vijana;
viii.    Kuandaa mipango ya kuboresha malezi ya Vijana;
ix.    Kuwahamasisha Waajiri na Wafadhili  mbalimbali wachangie mfuko wa mikopo nafuu kwa Vijana katika maeneo mbalimbali;
x.    Kukuza na kuendeleza vipaji mbalimbali walivyonavyo Vijana ili kuwawezesha kujiajiri;
xi.    Kuandaa mipango ya kuwahamasisha Vijana ili kuanzisha miradi midogomidogo ya kujiajiri


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Maendeleo ya Vijana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply