AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER II) - 35 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

•    Atafanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo kwa wafugaji wa eneo lake.
•    Kwa kushirikiana na wakaguzi wa afya, atakagua nyama na usafi wa machinjio
mara kwa mara.
•    Atakusanya takwimu za nyama na mazao yatokanayo na mifugo k.m ngozi na
kuandika ripoti.
•    Atatibui magonjwa ya mifigo chini ya usimamizi wa Daktari wa mifugo na
•    kushauri wafugaji jinsi ya kukinga mifugo dhidi ya magonjwa.
•    Atatembelea wafugaji mara Kwa mara na kuwapa ushauri fasaha wa kitaalam
katika eneo Lake Kazi.
•    Atakusanya takwimu zote za maendeleo ya mifugo katika eneo lake.
•    Atashauri na kusimamia ujenzi wa majosho, machinjio, vibanio na miundo mbinu
inayohusiana na ufugaji bora.
•    Atahusika na uhamilishaji (Artificail Insemination) na uzalishaji (breeding) wa
mifugo kwa ujumla.
•    Atashauri wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha maziwa na utunzaji wa
ndama.
•    Atafanya kazi nyingine za fani yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa
kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha VI waliofuzu mafunzo ya Stashahada
(Diploma) ya mifugo kutoka chuo cha Kilimo na Mifugo (MATI au LITI) au chuo
kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply