AFISA UVUVI DARAJA LA II (FISHERIES OFFICER GRADE II). - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kutekeleza Sera ya Uvuvi;
ii.    Uhifadhi wa samaki na viumbe wengine wa majini na mazingira yao;
iii.    Kuratibu na kusimamia uhifadhi wa mazingira;
iv.    Kuendeleza uvunaji endelevu wa samaki na viumbe wengine wa baharini, maziwa, mito, mabwawa na malambo;
v.    Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu Uvuvi bora, utengenezaji na udhifadhi bora wa Samaki na mazao ya uvuvi, Biashara na Masoko ya Samaki pamoja na Ufugaji wa Samaki na viumbe wengine wa majini;
vi.    Kutoa leseni za uvuvi;
vii.    Kuendesha mafunzo ya taaluma ya uvuvi;
viii.    Kusimamia na kutekeleza Sheria za Uvuvi (k.m. kuzuia uvuvi haramu);
ix.    Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za uvuvi pamoja na maduhuli;
x.    Kuratibu shughuli za utafiti wa uvuvi;
xi.    Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi endelevu ya rasilimali ya uvuvi;
xii.    Kukagua ubora wa Samaki na mazao ya uvuvi na kuweka viwango vya kitaifa.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani za Sayansi ya Uvuvi (Fisheries Science/Management, Zoology, Microbiology, Marine Biology, Food Science and Aquaculture).

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply