AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II). - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kukagua vyama vya Ushirika vya  Msingi vinavyoendesha miradi ya pamoja (Jointy Venture );
ii.    Kuhamasisha uanzishaji wa vyama vya Ushirika vya Msingi;
iii.    Kukusanya na kuchambua takwimu zinazohusu Masoko katika Mkoa;
iv.    Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika vya Msingi;
v.    Kuratibu/kushiriki katika Elimu ya Ushirika Shirikishi katika Vyama vya Ushirika vya Msingi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza au Stashahada ya Juu (Advanced Diploma) katika fani ya Ushirika kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply