FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI - (TECHNICIAN GRADE II - WATER) - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

• Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji
• Kutunza takwimu za maji
• Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro
• Kuchora hydrograph za maji
• Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way post” n.k.
• Kufanya matengenezo ya vifaa  vyote vya kupimia maji na hali ya hewa
• Kuingiza takwimu kwenye kompyuta
•  Kufundisha wasoma vipimo


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa Wahitimu  wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana  cheti cha ufundi ( FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply