FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI) (CIVIL TECHNICIAN GRADE II)... - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka rangi na kufunga mabomba;
ii.    Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”;
iii.    Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa;
iv.    Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

i.    Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi;
ii.    Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali  katika fani za fundi ujenzi;
iii.    Wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi hatua ya I ( ujenzi) kutoka Chuo cha Ufundi kinachotambuliwa na Serikali;
iv.    Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za fundi ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply