AFISA MICHEZO DARAJA LA II (GAMES AND SPORTS OFFICER GRADE II).. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufundisha fani mbalimbali za michezo kwa Walimu wa Vyuo, Shule, na Vituo vya Elimu na     Mafunzo;
ii.    Kufundisha fani mbalimbali za michezo kwa walimu, Makocha, viongozi wa vyama na vilabu vya michezo;
iii.    Kufundisha fani mbalimbali za michezo kwa Timu za Michezo mbalimbali.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Shahada au Stashahada ya Juu ya Elimu ya Michezo (Physical Education) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply