AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER GRADE II .. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi;
ii.    Kuhakikisha kuwa takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa usahihi.  Kuandaa takwimu zinazohusu maendeleo ya ukuaji wa sekta ya usafirishaji, na kuwasilisha kwa watumiaji ndani na nje ya nchi;
iii.    Kukusanya takwimu za usafirishaji nchini;
iv.    Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimnbali ya sekta ya usafirishaji;
v.    Kutekeleza majukumu mengine yanayohusu sekta ya usafirishaji


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye Shahada/ Stashahada ya juu katika fani ya Usafirishaji kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply