AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II... - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kutekeleza Kazi za Ushirikishaji Wadau Katika Uhifadhi;
ii.    Kudhibiti Utoaji wa Leseni za Biashara Za Nyara na Vibari vya Kukamata Wanyama Hai;
iii.    Kushiriki Katika Kusuluhisha Migogoro ya Matumizi ya Wanyamapori
iv.    Kudhibiti Matumizi Haramu ya Leseni za Uwindaji na Kuhahakikisha Kufuatwa Kwa Maadili Katika Kutumia Wanyamapori;
v.    Kuthibiti Matumizi Haramu ya Wanyamapori;
vi.    Kufuatilia Utekelezaji wa Miongozo Mbalimbali ya Uhifadhi Wanyamapori;
vii.    Kuhakiki Viwango vya Kukamata Wanyama Hai Kwa Ajili ya Biashara na Ufugaji.
viii.    Kufanya Kazi za Kuzuia Ujangili;
ix.    Kukusanya Taarifa, na Takwimu za Uhifadhi;
x.    Kutekeleza Kazi za Uhifadhi Katika Mapori ya Akiba.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa Wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyamapori Kutoka Chuo Kikuu Kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply