AFISA BIASHARA MSAIDIZI. - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kuandaa takwimu za mahitaji kutokana na bidhaa zinazozalishwa hapa nchini;
ii.    Kuandaa takwimu zinazoonyesha tofauti kati ya mahitaji na uzalishaji;
iii.    Kukusanya na kuunganisha nyaraka za sera za biashara na sheria za biashara;
iv.    Kuandaa sifa za biashara na huduma ambazo zinauzwa nchi za nje kwa kila sekta kama vile kilimo, madini, nguo na kadharika, na kuandaa sifa za kampuni zinazouza nje;
v.    Kukusanya takwimu za biashara kutoka kila wilaya, kuzichambua na kutathmini mwenendo wa biashara kwa kila wilaya;
vi.    Kukusanya takwimu kutoka kwa wafanya biashara ambao wanauza na kununua kutoka masoko ya nje kama vile SADC, EAC, EU, U.S.A


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye Stashahada ya Biashara kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali au sifa inayolingana na hiyo

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply