×

MWALIKO WA KUPOKEA MAONI YA UBORESHAJI WA MFUMO WA AJIRA WA SEKRETARIETI YA AJIRA (RECRUITMENT PORTAL)

Sekretarieti ya Ajira ipo katika mchakato wa Uboreshaji wa Mfumo wake wa maombi ya kazi  “Recruitment portal “ ikiwa ni muendelezo wa  uboreshaji wa utoaji  huduma iliyo bora kwa wadau wake hususan watumiaji wa mfumo huo.

Bonyeza Hapa ili kuona jinsi ya kushiriki     HELP-DESK:  +255784398259

                           +255735398259 

     MALALAMIKO: +255736005511        

Application General Conditions
  • All applicants must be Citizens of Tanzania
  • Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates
  • Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts
  • read more
Use your mobile phone