POST DETAILS
POSTAFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) - 1 POST
EMPLOYERParliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2023-03-14 2023-03-27
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i)     Kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi;

ii)    Kushirikiana na Mhasibu kuandaa taarifa za maduhuli;

iii)   Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;

iv)   Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara;

v)    Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi;

vi)   Kutunza daftari la amana; na

vii)  Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

·   Kuajiriwa wenye “Intermediate Certificate” (Module D) iliyotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinayotambulika na NBAA.

·         Shahada ya Biashara/Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu.

                       Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali

REMUNERATION PSS D
CLOSED 4 day(s) Ago.