POST DETAILS
POST | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - 1 POST |
EMPLOYER | Parliament of Tanzania |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-03-14 2023-03-27 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i) Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji; ii) Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka; iii) Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi; iv) Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu; v) Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili; vi) Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali. vii) Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha utunzaji kumbukumbu. |
REMUNERATION | PSS B |