POST DETAILS
POST | AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II - 25 POST |
EMPLOYER | Ministry Of Health (MOH) |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-03-16 2023-03-29 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i Kutoa huduma za uuguzi; |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania. |
REMUNERATION | TGHS B |